You are here

Huku Ulimwengu ukitenga siku ya hamasisho dhidi ya ugonjwa wa nasuri Jumamosi iliyopita. Evelyne Shani alikuwa miongoni mwa wagonjwa wengi waliofanyiwa upasuaji wa bure katika hospitali ya rufaa ya kaunti ya Narok. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.